MTANGAZAJI WA RADIO YA EFM BIKIRA WA KISUKUMA AFUNGUKA ANATAKA MPENZI MWENYE MAPENZI YA UCHIZI




Aina ya Penzi nnalolitaka... CRAZY LIFESTYLE...Wote tuwe vichaa..tuwe free..tuwe watoto tu masaa24..tutaniane kwa uhuru..Tununiane dakika 5 halafu tuchekeane na kupigana mabusu dakika 10 zinazofuata kama hakuna kilichotokea...Mtu akituona hata asihisi sisi ni wapenzi hata nikimtambulisha kwa washkaji,"Huyu ni Housegirl wangu" waamini.. Sitaki mpenzi wa kupigiana simu 800 kwa siku eti NAKUCHUNGA USIIBIWE...Una wazimu??Unachunga Bahari Coco Beach watu wanavua Baracuda Beach...Aniamini nami nimuamini maana hakuna sababu ya kuwa kwenye penzi na mtu Humuamini...Akituma meseji nikachelewa kujibu aulize "Babe are u okay?Ukipata sms naomba unijibu I miss you" NA SIO,"Nakutext unapiga kimya,Ukiwa na Michepuko yako unani-Ignore,NaCHOKA",tumemuona DJ CHOKA sembuse wewe! Mwanamke akisikia kuna ZARI PARTY ndo anakaba penati na kuona ni Opportunity ya Show Off,"Babe naomba hela ya gauni jeupe na unipitie home twende wote,na ole wako nikutane na hao wanawake zako wanaokushikaga na kukuachia harufu za Pafyumu"...Ukiniforce si naumwa Typhoid Feki tu siendi kwenye party.. Wengi tuko kwenye Mahaba na watu utadhani HITLER na IDDI AMINI wanadate...Kila kitu amri..simu ikiita anagombania apokee nani kapiga..Meseji ikiingia maswali HUYO NANI ANAKUTEXT SA6,Simu yako???Akiomba unyumba hata kama huna mood inabidi tu ukamuegeshee kiharage amalize mambo yake japo haikuwa ridhaa yako...Lovemaking Kimyakimya kama Bata anambaka Nungunungu, hamna hata kupiga stori kwamba "Imefika tumboni","Hapohapo babe","Niwekee kidole hapa karibu nakuja" Kudate na Kichaa mwenzio raha,Mapenzi kama nimechumbia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kata BAKINI NAYO NYIE MI SITAKI!Kama sipati kichaa mwenzangu heri nijenge urafiki na sabuni japo ntapata povu la bure!

No comments:

Post a Comment