MGOMO wa madereva umeingia siku ya pili leo baada ya kuanza jana
asubuhi huku wakazi mbalimbali wakiwemo wa jijini Dar wakilazimika
kutembea kwa mguu kwenda kwenye maeneo yao ya kufanyia shughuli za kila
siku.
Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar asubuhi hii imeonekana kujaa magari binafsi huku bajaji na bodaboda zikionekana kuwa nyingi kuliko siku nyingine.
Katika Kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo, mabasi matatu ya Kampuni ya Shabiby Line yameripotiwa kuondoka kituoni hapo kuelekea Morogoro na Dodoma yakiwa chini ya ulinzi mkali wa eskoti ya askari polisi.

No comments:
Post a Comment