MBUNGE WA CHADEMA TUNDU LISSU ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Mbunge
wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Mh.
Tundu Antipas Lissu akiwa katika ofisi za Global Publishers katika
mahojiano maalum (Exclusive Interview cha Global TV Online) na waandishi
wa habari GPL.
Mh. Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers, hawapo pichani.
Mh. Tundu Lissu akiendelea kufafanua jambo kwa waandishi wa habari.
...akijibu swali aliloulizwa kuhusu Mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao....akipokea
gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi kutoka kwa mhariri wa gazeti hilo
Elvan Stanbuli, gazeti hili linakuwa mtaani kila Ijumaa.
No comments:
Post a Comment