Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
Ali Kiba akiwa katika pozi.
Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu
na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi
ya ndugu wa Ali Kiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza
kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe
alipo Ali Kiba, hata hivyo hawakufanikiwa kumpata na wakaondoka muda
mfupi kabla ya polisi hawajafika nyumbani kwa staa huyo baada ya
kupigiwa simu na majirani.Ikiwa utakuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwa majambazi hao, unaweza kutoa taarifa katika kituo cha polisi ulicho karibu nacho.
No comments:
Post a Comment